Hii ni blogu ambayo ni mahususi kwaajili ya kusoma na kujifunza mambo kadha wa kadha ya kimaisha, kielimu, kisiasa, kiuchumi na kimaiendeleo kupitia simulizi, tenzi na mashairi yanayotungwa na mtunzi Danny Rich.